Miliki Shamba La Ndoto Yako Embu

SKU: P2bMSaYw4bJ3QnEpckVp9AIn Stock
1,350,000
No reviews
View at source

Product Description

Je, unatafuta mahali salama na tulivu pa kujenga makazi ya familia yako? Usikose fursa hii adimu ya kujipatia kiwanja cha robo ekari (1/4 acre) katika mradi wa Serenity Homes, eneo la Rianjeru, Embu. ​Kwa nini uwekeze hapa? ​Eneo la Kipekee: Kilomita 10 tu kutoka Embu CBD na mita chache kutoka barabara kuu. ​Usalama Imara: Kiwanja kimo ndani ya Gated Community ya ekari 10 yenye lango moja kuu la kuingilia. ​Mazingira Tulivu: Furahia hali ya hewa safi na mandhari ya kijani kibichi kwenye miteremko ya Mlima Kenya. ​. ​Hii ndiyo lango kuu la uwekezaji kuelekea Mashariki na Kaskazini Mashariki mwa Kenya. ​Wahi sasa kabla havijaisha!

Tags

Specifications

Category
Quilted Mattresses
Condition
Not Specified
Availability
In Stock

Customer Reviews

Loading reviews...