Majaribu Hadi Ushindi

SKU: RxR7mtcgJrP2BtC4tdM6PYIn Stock
1,100
No reviews
View at source

Product Description

Kristo aliwafundisha wanafunzi wake kuwa katika ufakme WA mbinguni hakuna mipaka ya nchi, wala hakuna ubaguzi WA rangi au kabila za watu.watu wote WA ulimwengu lazima wasikie injili ya Neema ya upendo wa Mungu.Lakini hawakuelewa mambo hayo mpaka baadaye ndipo walipotambua kuwa Mungu aliyewaumba wanadamu ,amekusudia watu wote waokolewe. Yohana na yuda wote walikuwa pamoja na yesu,kila mmoja alikuwa na kasoro kubwa katika tabia yake .Lakini mmoja alipokuwa akifanya matengenezo maishani ,mwingine alikuwa msikilizaji Tu.

Specifications

Condition
Not Specified
Availability
In Stock

Customer Reviews

Loading reviews...