Land on Sale Vuga Kwale Count 5 Acres

SKU: VoPXqnT38NXeYPpFdqM7o7In Stock
1,700,000
No reviews
View at source

Product Description

Hii shamba iko sehemu ya vunga kundutsi na imeshika barabara ya lami yakuenda kwale udongo wake ni mwekundu na warutuba waeza fanya kilimo chochote au kujenga haiko tambarare imeinama upande yote na sio muinamo.hatari Hana unaweza itembea yote Stima Maji Barabara Majirani Usalama poa Maelezo zaidi Haraka yako ndio bahati yako Title deed iko Map iko Wenyewe wako, na wako tayari kufanya biashara wakati wowote kwa mwenye kutaka kununua shamba hio

Tags

Specifications

Category
Land for Sale
Condition
Not Specified
Availability
In Stock

Customer Reviews

Loading reviews...